Changu Chako, Chako Changu
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 7:59:13
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Episódios
-
Siku kuu ya mashujaa nchini Kenya ya kila Octoba 20
19/11/2025 Duração: 19minMaadhimisho ya siku ya mashujaa nchini Kenya
-
Changu chako chako changu kuhusu siku kuu ya kimataifa ya ukalimani sehemu pili
12/10/2025 Duração: 19minKaribu katika makala ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya siku ya kimataifa ya ukalimani na tafsiri, na kwenye le parler francophone nitakujuwa kinachoendelea kwenye vituo vya Alliance Francaise za Ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mace Ice. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue ama Karibu.
-
Changu Chako Chako Changu, siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri
05/10/2025 Duração: 20minKaribu katika Makala yetu ya leo Jumapili changu chako chako changu Makala ambayo khukuletra historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, na eo nakuletea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri ambayo huamdihimishwa kila septemba 30 ya kila mwaka. Kwenye le parler francophone nitakujuwa yaliojiri kwenye kituo cha Alliance francaise, na kwenye Muziki nitakupa Burudani ya Muziki kutoka kwake Aslay. Mimi ni Ali Bilali Karibu ama Bienvenue,
-
Maadhimisho ya miaka 100 tangu kutoweka kwa muigizaji wa Ufaransa Moliere
04/10/2025 Duração: 19minMtangazaji wako hapa anaangazia moja miongoni mwa mchezo wa kuigiza wa nfuli wa michezo ya jukwaani Jean Baptiste Pokelin maharufu Moliere alietoweka miaka 80 iliopita.