Muziki Ijumaa

Informações:

Sinopse

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Episódios

  • Muziki na tumbuizo maalum

    24/03/2023 Duração: 10min

    Karibu kuungana na mtangazaji wetu mwandamizi Reuben Lukumbuka anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya marchi 24 2023

  • MUZIKI IJUMA

    17/03/2023 Duração: 10min

    Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako na muziki hapa.

  • Muziki wa kipeke ndani ya rfi Kiswahili

    03/03/2023 Duração: 11min

    Kila ijumaa unapata nafasi ya kuomba na kuskiza muziki unaopenda ndani ya rfi Kiswahili, kupitia makala ya Muziki Ijumaa. Juma hili Benson Wakoli amekuandalia vibao mbalimbali kutoka Africa Mashariki, vibao vya kale na sasa, ili kupanda uhonda kamili skiza makala haya

  • Midundo motomoto ndani ya mitambo ya rfi kiswahili

    20/01/2023 Duração: 15min

    Ukikose kuskiza vibao mrua kabisa ndani ya makala muziki ijumaa kila ijumaa katika rfi kiswahili.

página 2 de 2