Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Shirika la GreenVenture, la jijini Arusha inavyotumia taka za plastiki kuunda vifaa vya kujengea

Informações:

Sinopse

Makala ya leo yaliandaliwa Florence Kiwuwa, yanaangazia juhudi za jamii katika mji wa Arusha nchini Tanzania, na kile wanachokifanya kupiga jeki harakati za kukabilianana taka za plastiki.