Sbs Swahili - Sbs Swahili

Fikiri kwa makini kabla upige simu kwa 000

Informações:

Sinopse

Jeshi la polisi lina wahamasisha wa Australia watumie namba ya (000) kwa dharura tu, na wawasiliene na polisi kwa matukio mengine yasiyo ya dharura kupitia namba zingine za huduma.