Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 10 Julai 2022

Informações:

Sinopse

Wawakilishi wa China na Australia wakutana kuanza kukarabati uhusiano kati ya nchi hizo mbili, China ikilaumu serekali za zamani kwa mvutano kati ya nchi yake na Australia.