Sbs Swahili - Sbs Swahili

Australia Yafafanuliwa:Huduma za kisheria za wanawake nchini Australia:elewa chaguzi zako

Informações:

Sinopse

Ubaguzi katika sehemu za kazi, unyanyasaji wa kijinsia na ukosefu wa usawa wa kifedha—hizi ni baadhi ya sababu, zinazowafanya wanawake wahitaji huduma maalum za kisheria.