Siha Njema
Madhara ya afya ya akili yanayotokana na matumizi ya kupitiliza ya simu
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:05
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Ripoti ya afya akili duniani ,inaonya kuhusu madhara yanayotokana na matumizi ya simu za mkononi miongoni mwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 18 na 34 Katika mataifa ya Afrika ambapo matumizi ya simu hizi huanza kwa kuchelewa ,vijana walionekana kuwa afadhali ikilinganishwa na mataifa kama Finland ambapo watoto huanza kutumia simu katika umri mdogo mno. Katika mataifa yaliyozingatia maswala ya dini na muunganiko wa familia na jamii walionekana pia kuwa na ahueni.