Siha Njema
Fahamu madhara ya mvua kubwa kwa afya yako na namna ya kujikinga
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:08:59
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Mvua kubwa inaendelea kunyesha katika mataifa mengi ya Afrika ikisababisha mafuriko makubwa ,maafa na uharibifu wa mali Mvua ingawaje ni baraka, kunaponyesha ghafla inaweza kuwa chanzo cha baadhi ya magonjwa kama vile Malaria, Kipindu Pindu na magonjwa ya kusambazwa na minyoo.