Habari Rfi-ki
DRC/ Rwanda : Marais wasaini awamu ya mwisho ya mkataba
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:01
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Shaba ya makala haya inalenga nchini DRC, viongozi wa DRC marais Paul Kagame na mwenzake Felix Tshisekedi wamesaini, awamu ya mwisho ya mkataba wa amani. Tumekuuliza Je, unadhani wananchi wa mashariki mwa DRC watanufaika moja kwa moja na makubaliano ya worshington?